Manara: Tumenyimwa penati ya wazi

Manara: Tumenyimwa penati ya wazi

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
Manara.jpg

Msemaji Mkuu wa klabu ya Simba SC, Haji Manara ameendelea kuwalalamikia waamuzi wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara kwa kushindwa kuchezesha vizuri mechi zote za timu yake.

Manara amesema hayo mapema baada ya timu yake kulazimishwa sare ya goli 1-1 dhidi ya klabu ya Lipuli FC kutoka mkoani Iringa.

Naomba kwenye suala la uamuzi bodi ya ligi kama vile inavyochukuaga uamuzi kwa wachezaji, wakati mwingine wanawapa adhabu kali kuna mchezaji alifungiwa miaka miwili wakati mwingine wasemaji wanafungiwa mwaka mmoja, bodi ya ligi na TFF kama mnaridhika kabisa mwamuzi huyu amechezesha sivyo kwa makosa yaleyale na rekodi zilezile, chukueni hatua kubwa isiishie tu kumsimamisha.”amesema Haji Manara mapema baada ya mchezo kumalizika huku akimlaumu Mwamuzi wa mchezo wa leo dhidi ya Lipuli FC.

Maana adhabu kubwa utasikia amesimamishwa hata malizia mzunguko huu, pigeni kifungo au kufuta waamuzi wa hovyo, hakuna kitu kinachoumiza mpira wa Tanzania kama uamuzi mbovu. Nasema matokeo yake naonekana kama mkorofi, mlalamishi au nawaonea waamuzi lakini macho yote yanaona na mmeshuhudia pale kilichotokea, tumenyimwa penati ya wazi lakini sitaki kulalamika, nikilalamika ntaonekana nalalamikia waamuzi, chukueni hatua kama mkiridhika waamuzi hawachezeshi vizuri.
 
Halalamiki wakati analalamika!huyu jamaa anaakisi soka la kibongo
 
Acha kulalamika Minara, wewe ndiyo unaizamisha Simba, unawafanya wachezaji kila wafeel wanaonewa kwa kila mchezo, yaani saikologia yao unaivuruga kwa malalamiko yako, Mbona juzi tumeshuhudia Yanga wakifunga goli safi n'a likakataliwa n'a hawakulalamika ? Yanga wanajua matokeo ya mpira ndiyo maana wanayaheshimu, wewe kila siku timu ikiboronga unaitisha vyombo vya Habari, Kusema kweli tumekuchoka n'a napendekeza dirisha dogo atafutwe mbadala wako otherwise kombe litaozea kwa j'irai zako.
 
Simba chezeni mpira competitive, mpira wa kasi ambao unafanya beki inachanganyikiwa. Mnacheza slow mno mpaka mabeki wanakaba njia zote.
Beki wa Lipuli walikuwa wametulia wanapasiana nyuma kwa dharau kabisa kwa sababu hamuoneshi competitiveness ya timu inayotafuta ubingwa. Ushauri wangu tafuteni haraka kocha mwenye mentality ya English football sio huyu babu Omog anafundisha pedestrian football.
 
Dakika za mwanzoni mwanzoni simba waliweza kucheza kwa kasi sana na lipuli walikuwa hawana maelewano kabisa beki zao na viungo pia, simba wangejitahidi kuzitendea haki nafasi walizozipata wangejipatia magoli mengi sana. Simba walitakiwa kuwamaliza lipuli dakika zile 15 za mwanzoni, Muda ulivyozidi kwenda lipuli wakapata utulivu na kujiamini.
 
Manara alipaswa kulalamika pia kwenye mechi dhidi ya mbeya city. Sio maamuzi ya waamuzi yakiipendelea upande wako unakaa kimya ila ikitokea kinyume chake basi unalalamika.
 
Imefika wakati Manara apewe urefa maana naona amekuwa kama demu, ghubu kwenda mbele, Kipindi yanga wana hela, visingizio ni kuhonga, mara Malinzi anawabeba, Leo kiko wapi, TFF yote Simba bado analalama tu
 
Manara alipaswa kulalamika pia kwenye mechi dhidi ya mbeya city. Sio maamuzi ya waamuzi yakiipendelea upande wako unakaa kimya ila ikitokea kinyume chake basi unalalamika.
safi sana, yeye akifunga y'a offside anachekeleaaa
 
L
Acha kulalamika Minara, wewe ndiyo unaizamisha Simba, unawafanya wachezaji kila wafeel wanaonewa kwa kila mchezo, yaani saikologia yao unaivuruga kwa malalamiko yako, Mbona juzi tumeshuhudia Yanga wakifunga goli safi n'a likakataliwa n'a hawakulalamika ? Yanga wanajua matokeo ya mpira ndiyo maana wanayaheshimu, wewe kila siku timu ikiboronga unaitisha vyombo vya Habari, Kusema kweli tumekuchoka n'a napendekeza dirisha dogo atafutwe mbadala wako otherwise kombe litaozea kwa j'irai zako.
Lile goli ingekuwa wao, Labda muda huu wangekuwa kwa Magufuli kulalamika.
 
Simlaumu manara ndugu zetu hawa huwa hawaoni vizuri wakati wa mchana hivyo asamehewe tu huyu mtu
 
Back
Top Bottom