Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaida ya punguani huongea kipunguani."Tukimaliza mechi yetu ya tarehe 30 na Makolo, tutawaandikia barua Bodi ya Ligi na TFF kama wataridhia mechi zetu zilizobaki wacheze na YANGA PRINCES"
Hii ni kauli ya Manara aliyoipost kwenye page yake ambapo ana maanisha kwa yanga ya saizi ilipofikia baada ya kucheza dhidi ya makolo mechi zitakazo baki kwa yanga kupeleka timu uwanjani itakuwa ni upotevu wa muda
Je, kama mwanamichezo unakubaliana na Jambo hili?
Source: Semaji la duni.... Manara
View attachment 2196303
View attachment 2196302
Kawadhalilishaje wanawake?Ingekuwa nchi za wanaojielewa kwa kauli hii ya udhalilishaji kwa wanawake huyu mpuuzi asingekuwa na kazi na sasa hivi wadhamini wa yanga wangekuwa wanachomoka mmoja mmoja. Yanga mlipotoka sana kumpa ajira huyu boya. Activists na waandishi wa bongo hawana akili ya kuliona hili