Manara: Tutaiomba TFF mechi zijazo wapinzani wetu wacheze na Yanga Princess

Ingekuwa nchi za wanaojielewa kwa kauli hii ya udhalilishaji kwa wanawake huyu mpuuzi asingekuwa na kazi na sasa hivi wadhamini wa yanga wangekuwa wanachomoka mmoja mmoja. Yanga mlipotoka sana kumpa ajira huyu boya. Activists na waandishi wa bongo hawana akili ya kuliona hili
 
Kawaida ya punguani huongea kipunguani.
 
Kawadhalilishaje wanawake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…