Manara umeaibisha sana cheo chako leo.

Manara umeaibisha sana cheo chako leo.

Sasa iwapo Simba SC ina Official Account Yake [HASHTAG]#Twitter[/HASHTAG] →→ Simba SC Tanzania (@SimbaSCTanzania) on Twitter Kuna ulazima gani Afisa Habari Kutoa Habari Kupitia Account Yake Binafsi???

Je Kuna Uhusiano gani wa Kilazima Kati ya Taaluma Ya Habari na Mitandao Ya Kijamii??

Hebu Taja Miaka iliyoanzishwa Hiyo Mitandao Ya Kijamii Na Uniambie Yupo Mwandishi/Afisa Habari Alitekuwa na Account Ya FB, Twitter, Insta na Watsapp Chini ya Mwaka 1995, Je Kipindi Hicho unataka Kunambia Kwasababu Waandishi Hawakutumia Mitandao Je Wote ni Hewa????

Usiwe Boya Kiasi Hicho... Hata Walioishia Darasa La Saba Macelebrities Katika Mitandao Ya Kijamii Wana Followers Zaidi ya 100K kuzidi Tido Mhando na Salim Kikeke pamoja na Wahadhiri wa Vyuo Vikuu!!!!

Sasa Kama Kutumia Mitandao Ya Kijamii ndiyo Ubora Wa Uwandishi!!! [HASHTAG]#MillardAyo[/HASHTAG] Yupo Juu Sana Kwenye Mitandao Ya Kijamii Kuliko [HASHTAG]#CharlesHillary[/HASHTAG]....! Je Yupi hapo Mwandishi bora????
dunia ya sasa siyo ya 1995. lazima kubadilika. pia kama alijua hawezi kuweka taarifa za klabu kwenye accounts binafsi kulikuwa na sababu gani ya kusema hana na hapendi kuwa na accounts binafsi.
 
NLIVYOONA AVATAR YAKE TU NIKAJUA AKILI YAKE IKOJE. NI AKILI ILE ILE YA KWENYE AVATAR YAKE






73501.jpg
nimeelewa avatar tu
 
afisa habari gani asiyependa mitandao ya kijamii. watu serious unakuwa umesha disqualify.
Hata baba Jesika kashasema anaomva malaika wazime mutandao ya kijamii...wakati ana account fb, twitter
 
Back
Top Bottom