Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwani Manara hajafungiwa ?Mkuu, kanywe panado
haruhusiwi kufika airport kupokea wageni?Kwani Manara hajafungiwa ?
Unaweqeseka ukiwa wapi dogoNimeona ni vema nikukumbushe Mapema , kwamba kifungo chako cha kutojihusisha na Masuala ya Soka kwa miaka miwili , kinahusu kweli kutojihusisha na soka.
Hutakiwi kujipendekeza kwenye mapokezi ya Yanga baada ya kufuzu kindondokela kwenye hatua ya makundi huko Tunisia , Usije kusema sijakuambia.
Hivi ile faini ulishalipa?
Hakuna aliyekataa mkuu.Kwani Manara hajafungiwa ?
Kuwauzia mihogoKwani kachukua ubingwa au kafuzu? Ss mnaenda kuwapokea kwa kazi gani?
Mtu kwenda Kiwanja cha ndege hakuhusiani na soka...Nimeona ni vema nikukumbushe Mapema , kwamba kifungo chako cha kutojihusisha na Masuala ya Soka kwa miaka miwili , kinahusu kweli kutojihusisha na soka.
Hutakiwi kujipendekeza kwenye mapokezi ya Yanga baada ya kufuzu kindondokela kwenye hatua ya makundi huko Tunisia , Usije kusema sijakuambia.
Hivi ile faini ulishalipa?
Wewe jamaa huwa napenda sana kusoma articles zako hasa za kisiasa kumbe kwenye nasuala ya mpira ni mbumbumbu?? Pole sana potiNimeona ni vema nikukumbushe mapema kwamba, kifungo chako cha kutojihusisha na masuala ya soka kwa miaka miwili kinahusu kweli kutojihusisha na soka.
Hutakiwi kujipendekeza kwenye mapokezi ya Yanga baada ya kufuzu kindondokela kwenye hatua ya makundi huko Tunisia, usije kusema sijakwambia.
Hivi ile faini ulishalipa?
jamaaa kapagawa, bora arudi jukwaa la siasa tu,huku anakua chief mbumbumbuMtu kwenda Kiwanja cha ndege hakuhusiani na soka...
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Keshachanganyikiwa ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamaaa kapagawa, bora arudi jukwaa la siasa tu,huku anakua chief mbumbumbu
Acha wivu,thimbaaa🦁,wewe na Tiiefu efu yako,kumfungia ilikuwa lengo kuidhoofisha Mwananchi Ila bado wanatusua tuu🤸🤸Nimeona ni vema nikukumbushe mapema kwamba, kifungo chako cha kutojihusisha na masuala ya soka kwa miaka miwili kinahusu kweli kutojihusisha na soka.
Hutakiwi kujipendekeza kwenye mapokezi ya Yanga baada ya kufuzu kindondokela kwenye hatua ya makundi huko Tunisia, usije kusema sijakwambia.
Hivi ile faini ulishalipa?
Wewe una Gundu! Maisha yako yatakuwa ya shida! Unapambana na akina Mdee kwa vile hawakubaliana na mtu umpendaye MBOWE, hivyo ni nuksi na unaandika hapa JF bila soni. Kwa vile wewe ni mpenzi wa Simba na kwa vile manara aliiasi simba, unamwandama Manara. Je, kwa aliyekukula mara ya kwanza akakuacha, Nadhani ukimuona unaweza kumwitia mwizi wamuulie mbaliNimeona ni vema nikukumbushe mapema kwamba, kifungo chako cha kutojihusisha na masuala ya soka kwa miaka miwili kinahusu kweli kutojihusisha na soka.
Hutakiwi kujipendekeza kwenye mapokezi ya Yanga baada ya kufuzu kindondokela kwenye hatua ya makundi huko Tunisia, usije kusema sijakwambia.
Hivi ile faini ulishalipa?
ungeweza kuchangia bila matusi , ungeeleweka tu .Wewe una Gundu! Maisha yako yatakuwa ya shida! Unapambana na akina Mdee kwa vile hawakubaliana na mtu umpendaye MBOWE, hivyo ni nuksi na unaandika hapa JF bila soni. Kwa vile wewe ni mpenzi wa Simba na kwa vile manara aliiasi simba, unamwandama Manara. Je, kwa aliyekukula mara ya kwanza akakuacha, Nadhani ukimuona unaweza kumwitia mwizi wamuulie mbali