Manara Umefungiwa na TFF, huruhusiwi kuwepo kwenye mapokezi ya Yanga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Nimeona ni vema nikukumbushe mapema kwamba, kifungo chako cha kutojihusisha na masuala ya soka kwa miaka miwili kinahusu kweli kutojihusisha na soka.

Hutakiwi kujipendekeza kwenye mapokezi ya Yanga baada ya kufuzu kindondokela kwenye hatua ya makundi huko Tunisia, usije kusema sijakwambia.

Hivi ile faini ulishalipa?
 
Kwani kachukua ubingwa au kafuzu? Ss mnaenda kuwapokea kwa kazi gani?
 
Nimeona ni vema nikukumbushe Mapema , kwamba kifungo chako cha kutojihusisha na Masuala ya Soka kwa miaka miwili , kinahusu kweli kutojihusisha na soka.

Hutakiwi kujipendekeza kwenye mapokezi ya Yanga baada ya kufuzu kindondokela kwenye hatua ya makundi huko Tunisia , Usije kusema sijakuambia.

Hivi ile faini ulishalipa?
Unaweqeseka ukiwa wapi dogo
 
Mtu kwenda Kiwanja cha ndege hakuhusiani na soka...

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Nimeona ni vema nikukumbushe mapema kwamba, kifungo chako cha kutojihusisha na masuala ya soka kwa miaka miwili kinahusu kweli kutojihusisha na soka.

Hutakiwi kujipendekeza kwenye mapokezi ya Yanga baada ya kufuzu kindondokela kwenye hatua ya makundi huko Tunisia, usije kusema sijakwambia.

Hivi ile faini ulishalipa?
Wewe jamaa huwa napenda sana kusoma articles zako hasa za kisiasa kumbe kwenye nasuala ya mpira ni mbumbumbu?? Pole sana poti
 
Nimeona ni vema nikukumbushe mapema kwamba, kifungo chako cha kutojihusisha na masuala ya soka kwa miaka miwili kinahusu kweli kutojihusisha na soka.

Hutakiwi kujipendekeza kwenye mapokezi ya Yanga baada ya kufuzu kindondokela kwenye hatua ya makundi huko Tunisia, usije kusema sijakwambia.

Hivi ile faini ulishalipa?
Acha wivu,thimbaaa🦁,wewe na Tiiefu efu yako,kumfungia ilikuwa lengo kuidhoofisha Mwananchi Ila bado wanatusua tuu🤸🤸
 
Nimeona ni vema nikukumbushe mapema kwamba, kifungo chako cha kutojihusisha na masuala ya soka kwa miaka miwili kinahusu kweli kutojihusisha na soka.

Hutakiwi kujipendekeza kwenye mapokezi ya Yanga baada ya kufuzu kindondokela kwenye hatua ya makundi huko Tunisia, usije kusema sijakwambia.

Hivi ile faini ulishalipa?
Wewe una Gundu! Maisha yako yatakuwa ya shida! Unapambana na akina Mdee kwa vile hawakubaliana na mtu umpendaye MBOWE, hivyo ni nuksi na unaandika hapa JF bila soni. Kwa vile wewe ni mpenzi wa Simba na kwa vile manara aliiasi simba, unamwandama Manara. Je, kwa aliyekukula mara ya kwanza akakuacha, Nadhani ukimuona unaweza kumwitia mwizi wamuulie mbali
 
ungeweza kuchangia bila matusi , ungeeleweka tu .
 
Back
Top Bottom