Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
eti hakuna team ya kuwafunga??? Man city mwenyewe huko anakula kichapo.. sembuse nyie mbumbumbu!!.. "subirini yule kengele afunge "Wameomba Msamaha kutokana na ukweli kuwa wao ndo walitengeneza tatizo kuwa kwa Usajili waliofanya Msimu huu hakuna timu ya kuwafunga, sasa kwa Matokeo wanayopata kulinganisha na Timu wanazocheza nazo utarajia Mashabiki watafanya nn?
Yanii sijui Ataomba msamaha Mara ngapi sasa...!!Hivi Haji anadhani Simba haiwezi kufungwa?
Kila wakifungwa ataomba msamaha?
Anawaamimisha mashabiki wasiojielewa kwamba lazima washinde kila mechi. Ndiyo mwanzo wa kung'oa viti uwanjani. Dhana ya ligi inapotea kabisa.
Kikubwa ni kuwa na point nyingi mwisho wa msimu.