MANARA UMEKOSEA SANA...!!

MANARA UMEKOSEA SANA...!!

Wameomba Msamaha kutokana na ukweli kuwa wao ndo walitengeneza tatizo kuwa kwa Usajili waliofanya Msimu huu hakuna timu ya kuwafunga, sasa kwa Matokeo wanayopata kulinganisha na Timu wanazocheza nazo utarajia Mashabiki watafanya nn?
eti hakuna team ya kuwafunga??? Man city mwenyewe huko anakula kichapo.. sembuse nyie mbumbumbu!!.. "subirini yule kengele afunge "
 
Hivi Haji anadhani Simba haiwezi kufungwa?
Kila wakifungwa ataomba msamaha?

Anawaamimisha mashabiki wasiojielewa kwamba lazima washinde kila mechi. Ndiyo mwanzo wa kung'oa viti uwanjani. Dhana ya ligi inapotea kabisa.

Kikubwa ni kuwa na point nyingi mwisho wa msimu.
 
Haji Manara anaomba msamaha ksb anajua fika ndani ya simba kuna mgogoro unafukuta lakini wao wanawaaminisha mashabiki wao eti mambo shwari so anajua kwa kiasi gani uongozi unaihujumu timu
 
Hivi Haji anadhani Simba haiwezi kufungwa?
Kila wakifungwa ataomba msamaha?

Anawaamimisha mashabiki wasiojielewa kwamba lazima washinde kila mechi. Ndiyo mwanzo wa kung'oa viti uwanjani. Dhana ya ligi inapotea kabisa.

Kikubwa ni kuwa na point nyingi mwisho wa msimu.
Yanii sijui Ataomba msamaha Mara ngapi sasa...!!
 
ACHA AOMBE MSAMAHA. YEYE NDIYE ALIEWAAMINISHA MASHABIKI VIAZI KUWA WAKITOKA UTURUKI, KILA ATAKAEKUTANA NA SIMBA, ATAKULA 7-0! SA MASHABIKI VIAZI HAWAONI HIZO 7-0!
 
Back
Top Bottom