Manara: Uwanja umeota mbawa, haya rudini bondeni mkahangaike na magugu maji

Manara: Uwanja umeota mbawa, haya rudini bondeni mkahangaike na magugu maji

Manara mswahili hanaga hizo ila Yanga nao walibweteka na mali za Manji klabu ina miaka 80s bado tegemezi kwa kweli ni maajabu mengine ya dunia.
Hivi mkuu Simba inajitegemea yenyewe?
 
Eneo la kujenga uwanja watarejeshewa...ila sehemu kubwa itabebwa na government ...we utajasikia.
 
Back
Top Bottom