Manara: Wanasema kikosi cha Simba kina thamani ya bil.1 umewahi kujua kama Chirwa pekee ana thamani ya mil.200?

na yanga wameamua sasa kukomaa mechi zote finali mpaka ubingwa,wawe na njaa au shibe lengo kuwakomesha mikia fc,tff fc manara oyee timu
 
Ningewashauri wasemaji wa vilabu kuishi kwa falsafa ya Plato ambaye alisema, ‘Wenye hekima huongea kwa sababu wana la kuongea.Wapuuzi (huongea) ilimradi waongee’. (Wise men speak because they have something to say; Fools because they have to say something)
 
Hahahah manara Katibu mwenezi
 
Mi nashauri manara akasomee kozi za marefariii I'll awe anachezesha mechi za simba
 
Yeye mwenyewe ndo alianza kusema kikosi cha simba ni bilion 1.3

Manara kila siku kulalamika hìi yote kutaka point za mezanì.

Alafu wewe Manara ni msemaji wa simba ila kutwa kuionģelea Yanga as if unauzika na usemaji wa yanga, huko ni kuweweseka
 
Kateni rufaa maana ya FIFA mpaka leo mnasubiri
 
Sijui upungufu maana babu alishawahi nambia ukimuona mtu hana kichogo jua kichwani nusu taahira nusu mzima naanza kuamini kwako hajji manara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…