Manara: Wanasema kikosi cha Simba kina thamani ya bil.1 umewahi kujua kama Chirwa pekee ana thamani ya mil.200?

Mwisho wa msimu mjiandae kwenda fifa tena,kwa wazee wale wa bln 1.3 ubingwa msahau nyie malalamiko fc
 

Manara hapa ndiyo mwisho wako wa kufikiri, sasa uneonyesha jinsi gani Simba walivyo na msemaji asiyehua mpira na anaekurupuka, pesa hazichezi uwanjani. Wanasimba tafakarini inawezekana umenunua wachezaji bomu au wanunuzi wa wachezaji pamoja na msemaji wa Simba wanepiga dili.
 
Manara hanaga amani tukiwapumulia kisogoni. Sasa atabwabwaja weeee mwisho wa siku atawaomba msubiri msimu ujao
 
Mwisho wa msimu mjiandae kwenda fifa tena,kwa wazee wale wa bln 1.3 ubingwa msahau nyie malalamiko fc


Yani Mnyama Simba Kutoka Sare na Kitimu Kidogo Kama [HASHTAG]#Yanga[/HASHTAG] imefanya Mpaka na Huyu Mganga Wa Kienyeji eti anazungumzia Mpira...
 
Msemaji anayechanganya...kwa mtizamo wangu hana quality ya usemaji wa klabu kubwa kama simba...yu afaa kuwa mc kwenye harusi za uswahilini au kwenye vigodoro
 
Haijawahi kutokea Ngoma.Chirwa na Tambwe wote wacheze na Simba na kufungwa...Manara mshamba ingawa kazaliwa Kariakoo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] et mashabik wa mikia!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] uko vzur kaka. Kwamba "atakimbizwa" noma xana
 
Enzi zile walisema kina Malinzi wanawaonea! Sasa 90% ya watu wa TFF ni mikia wenzao bado wanalalamika? Hawa jamaa kweli ni malalamiko Fc!

Tena enzi za Malinzi msimu uliopita mda kama huu walikua wanaongoza kwa point lukuki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…