Manara: Yanga yauza jezi mara tano zaidi ya klabu nyingine

Manara: Yanga yauza jezi mara tano zaidi ya klabu nyingine

Manara anapata tabu sana na simba leo kaleta takwimu za kubumba ilimradi aamishe watu kuzungumzia performance ya Simba jana[emoji3][emoji3]
Amna mkuu.....Koo ashindwe kuleta feedback kwa watanzania ....kisa kolo kashindwa
 
Maduka yanayouza bidhaa mkuu....yameonyesha Kuna biashara nzr za jez ya yanga zaid
Yale magagulo ndo bidhaa nzuri?

GSM kwa miaka ameshindwa kufanya vigodoro vyake viwe bidhaa nzuri halafu unataka kutuambia hii miaka miwili ilimtosha kutengeneza bidhaa nzuri za yanga?
 
Kila morisson akifanya yake, mnaitisha mikutano na vyombo vya HabarI kutangaza takataka kama hizi ili mjipoze machungu yanayowasibu.
Morrison ni mdudu gani mkuu..... Tanzania and Julikana ni MAYELE tu
 
Back
Top Bottom