NakaziaHawa vyura hawana akili timamu
😄😃😀Mdomo wa plastic sio wa kuuamini, maana kila time una lopoka tu
Yale magagulo ndo bidhaa nzuri?Maduka yanayouza bidhaa mkuu....yameonyesha Kuna biashara nzr za jez ya yanga zaid
analeta ukakauona kwenye biashara za watu, wakimbana utaskia "aaah ni utani wa jadi mazee sikumaanisha"Hizo takwimu kazitoa nani?
Nani anayeweza kujua kila klabu imeuza jezi ngapi?
Mkuu, jezi zenu za msimu ulioisha mmeshamaliza kuzigawa ?Mijezi ya Makolo ni ngumu kununulika,iko kama ya waganga wa kienyeji
HawaelewekiHaa
Aibu KuongeleA Yanga Hii
Koo unahisi ....data zmepikwa[emoji23][emoji23]Wauza Jezi ni Simba na Yanga pekee
Sasa angetaja idadi ya walizo uza ili tuone uhalisia wa kwenye mechi zao
Sent using Jamii Forums mobile app