Manara yupo kibiashara Yanga

Haji alisema Hata akipewa fedha zote za Benki kuu, Hawezi kuwa Yanga.

Ila leo kavaa jezi ya Yanga na anakula fedha zao.
 
wote tutapita SIMBA na yanga zitakuwepo.......tunamtakia maisha mema.....
 
Haji alisema Hata akipewa fedha zote za Benki kuu, Hawezi kuwa Yanga.

Ila leo kavaa jezi ya Yanga na anakula fedha zao.
Hapo ni somo tosha kuwa wasimuamini kivile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…