mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Afadhali mkuu. Nilisubiri kwa hamu!Mkuu bora uwaambie hao watu. Na kama mpiga vichwa ni shabiki wa Yanga basi tunakuongeza kwenye list ya wenye akili Yanga hivyo wenzako ni Sunday na Kikwete kama alivyosema Manara.
Toka wajinga kutoka Facebook waivamie JF ndo mambo kama haya yanapatikana.Kuleta mjadala kuhusu kauli za Manara ni kuivunjia heshima JF na kuifanya JF kijiwe cha wajinga
Usimjadili Manara humu tujadili nini kwenye michezo?Kapimwe IQKuleta mjadala kuhusu kauli za Manara ni kuivunjia heshima JF na kuifanya JF kijiwe cha wajinga
Yule Ni MWANANCHI.....hawezi kuondokaIkitokea mara baa G.S.M kasitisha ufadhili wake na kujitoa Yanga
[emoji1221] Siku hiyo hiyo senzo anasepa
[emoji3532] Sekunde hiyo hiyo manara anaitisha press conference kuinanga Yanga na kutokomea kwenye maslahi
Feisal ni kama Putin tu, kakichafua Ukraine mpaka kasabisha nauli na mishahara imepandaMimi naona wa kulaumiwa ni Feisal .
Kafukuzisha mmadrada kazi
Sijui kwanini Mikia aka Kolo FC hawaoni shida ilipo, kijana mdogo Feisal aka Zanzibar finest alitoka na mpira toka mstari wa katikati ya uwanja na akawaambia kwa vitendo Mikia kuwa anakwenda kuwapasua cha kushangaza timu nzima Kolo fc eti ikawa na bumbuwazi!! kisha wakaamka usingizini badala ya kwenda kumkaba wakawa wanakimbilia golini eti kuzuia kombora atakalofumua!!Mimi naona wa kulaumiwa ni Feisal .
Kafukuzisha mmadrada kazi
Uhuru wa kuongeaKuleta mjadala kuhusu kauli za Manara ni kuivunjia heshima JF na kuifanya JF kijiwe cha wajinga