Manara: Zidane akasirishwa na kitendo cha Pablo kufukuzwa Simba

Manara: Zidane akasirishwa na kitendo cha Pablo kufukuzwa Simba

Sijui kwanini Mikia aka Kolo FC hawaoni shida ilipo, kijana mdogo Feisal aka Zanzibar finest alitoka na mpira toka mstari wa katikati ya uwanja na akawaambia kwa vitendo Mikia kuwa anakwenda kuwapasua cha kushangaza timu nzima Kolo fc eti ikawa na bumbuwazi!!

Watafukuzana Simba mmoja baada ya mwingine hadi wataisha maana Nabi anafundisha kushambulia na Kaze anafundisha kukaba staili ya mnyororo kila ukimpita mmoja unakutana na wengine wawili hadi unarudisha mpira nyuma. Project yao ni miaka kumi Yanga ifike kiwango cha Al Ahly ambako Nabi alifundisha hapo kabla. Simba wataumia na kufukuzana kwa 10 years!@
Kabisa mkuu......Prof. nabi ni [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Manara: Ninazo taarifa za uhakika kabisa zinadai kuwa zinadine Zidane asikitishwa na kitendo cha Simba kumpa barua ya mchongo kocha Pablo kilichofanywa na uongozi wa makolo hususani kumpa barua isiyoonyesha tarakimu za malipo yake

Akiongea na kituo cha television huko Burma, Zidane ambaye aliwahifanya kazi na Pablo pale real Madrid, amesema kocha huyo no mzuri mno angeweza kuwafikisha mbali kisoka

Source: manara View attachment 2247212View attachment 2247196
endeleeni kutania
 
Back
Top Bottom