Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #41
Kabisa mkuu......Prof. nabi ni [emoji91][emoji91][emoji91]Sijui kwanini Mikia aka Kolo FC hawaoni shida ilipo, kijana mdogo Feisal aka Zanzibar finest alitoka na mpira toka mstari wa katikati ya uwanja na akawaambia kwa vitendo Mikia kuwa anakwenda kuwapasua cha kushangaza timu nzima Kolo fc eti ikawa na bumbuwazi!!
Watafukuzana Simba mmoja baada ya mwingine hadi wataisha maana Nabi anafundisha kushambulia na Kaze anafundisha kukaba staili ya mnyororo kila ukimpita mmoja unakutana na wengine wawili hadi unarudisha mpira nyuma. Project yao ni miaka kumi Yanga ifike kiwango cha Al Ahly ambako Nabi alifundisha hapo kabla. Simba wataumia na kufukuzana kwa 10 years!@