Manara's Press: A pure conflict Of Interest:

hivi mbona nye mmekuwa wapumbavu kiasi hiki,kila saa mnasema manara alifanya kazi bila mkataba ,wakati kapewa mkataba akakataa,acheni kuwaza kwa kutumia makalio mnarudia kitu kile kile
 
mi nadhani zile voice notes alivujisha wakati amelewa ,asubuhi ana amka akaona kuliko kuomba msamaha heri atibue tu mazima
 
Is stupidity to lie to someone who choosed to work in 6 years without contract..sisi hatuwez kumlaumu mwajiri peke yake Bali hata ww mfanyakazi no bwege tena Ntozeni nae kwa mwenye akili kwa hilo hajaivua nguo simba Bali yeye na upuuzi wake..6 yrs without cont?..then ujatuambia sisi ili tukuonee huruma anza kujionea huruma ww kwanza stupid..Manara hii nafasi ataikumbuka siku moja?..hao wote walikuja mzuri coz ya simba..mwenzio Jerry Murro Elimu ilimkomboa anapata U DC sasa mwenzangu na mie endelea kubwabwaja tuanze kugombania mwendokasi.
 
Mnamsifia Haji anayemchamba Mtendaji Mkuu kwenye Voice Clip na kuirusha kwa hadhira.
Huyu ndiye mwenye Nidhamu ya kazi na kuaminika.
Huyu anayefanya kazi Simba miaka Sita Bila Mkataba wowote.

Hakika Mabadiliko ya Simba yamewauma wengi sana.

Timu imezibeba timu Nne mwaka huu na kufanya nchi ijulikane zaidi Kisoka Afrika.
Timu inayofika robo fainali Afrika.
Timu inayobeba makombe yote nchini.
Timu ya 12 barani Afrika.

Eti imefika huko kwa Juhudi za asiye na Mkataba.
Alifanyaje kazi bila mkataba ?
Alikuwa anasaini wapi kama kaingia kazini ?
 
Simba sio kijiwe cha siasa za ccm .. Wenye muda wa kujibu hoja zake wafanye hivyo..hana hata share moja Simba alikuwa mfanyakazi kama wengine, uhitaji wake umefikia kikomo amefanya mazuri apongezwe alipokosea ajitahidi huko aendako ajirekebishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…