Manara's Press: A pure conflict Of Interest:

Manara's Press: A pure conflict Of Interest:

You also sounds like a MO's hoe!.

I am a Simba fan, but Haji gots some points. Can u withstand working for six tiresome years without a contract? Yes, if you get kicked off, get outside and throw some stone to the kicker.

You expected Haji to shut off while MO's dogs are barking pretending to mean that there is nobody bigger than Simba? If Yes, are Babra's nd MO's decisions the final?

Simba ni watu na watu ni kama hao akina Haji. Kwani Simba wewe unaelewa ni nini? Kuna jitu linaitwa Simba?? . Muunganiko huo wa Management na wachezaji ndiyo Simba yenyewe.

Hatuwezi kukwepa matatizo kwa kujidangnya kuwa hayapo.
hivi mbona nye mmekuwa wapumbavu kiasi hiki,kila saa mnasema manara alifanya kazi bila mkataba ,wakati kapewa mkataba akakataa,acheni kuwaza kwa kutumia makalio mnarudia kitu kile kile
 
Haji anaonekana bado roho inamuuma kuondoka Simba SC, hakujipa muda kujiandaa kisaikolojia, aliropoka tu mitandaoni bila kujua madhara yake nahisi hata akilala bado atakuwa anaota anaisemea Simba SC, huyu aachwe ikibidi aende akapewe ushauri nasaha ili akae sawa, anadhani kuisema Simba SC ndio atapata nafuu kumbe press ikiisha anaendelea kuumia tu.
mi nadhani zile voice notes alivujisha wakati amelewa ,asubuhi ana amka akaona kuliko kuomba msamaha heri atibue tu mazima
 
You also sounds like a MO's hoe!.

I am a Simba fan, but Haji gots some points. Can u withstand working for six tiresome years without a contract? Yes, if you get kicked off, get outside and throw some stone to the kicker.

You expected Haji to shut off while MO's dogs are barking pretending to mean that there is nobody bigger than Simba? If Yes, are Babra's nd MO's decisions the final?

Simba ni watu na watu ni kama hao akina Haji. Kwani Simba wewe unaelewa ni nini? Kuna jitu linaitwa Simba?? . Muunganiko huo wa Management na wachezaji ndiyo Simba yenyewe.

Hatuwezi kukwepa matatizo kwa kujidangnya kuwa hayapo.
Is stupidity to lie to someone who choosed to work in 6 years without contract..sisi hatuwez kumlaumu mwajiri peke yake Bali hata ww mfanyakazi no bwege tena Ntozeni nae kwa mwenye akili kwa hilo hajaivua nguo simba Bali yeye na upuuzi wake..6 yrs without cont?..then ujatuambia sisi ili tukuonee huruma anza kujionea huruma ww kwanza stupid..Manara hii nafasi ataikumbuka siku moja?..hao wote walikuja mzuri coz ya simba..mwenzio Jerry Murro Elimu ilimkomboa anapata U DC sasa mwenzangu na mie endelea kubwabwaja tuanze kugombania mwendokasi.
 
Mnamsifia Haji anayemchamba Mtendaji Mkuu kwenye Voice Clip na kuirusha kwa hadhira.
Huyu ndiye mwenye Nidhamu ya kazi na kuaminika.
Huyu anayefanya kazi Simba miaka Sita Bila Mkataba wowote.

Hakika Mabadiliko ya Simba yamewauma wengi sana.

Timu imezibeba timu Nne mwaka huu na kufanya nchi ijulikane zaidi Kisoka Afrika.
Timu inayofika robo fainali Afrika.
Timu inayobeba makombe yote nchini.
Timu ya 12 barani Afrika.

Eti imefika huko kwa Juhudi za asiye na Mkataba.
Alifanyaje kazi bila mkataba ?
Alikuwa anasaini wapi kama kaingia kazini ?
 
Watanzania wengi ni wa ajabu sana Mfano wewe ukweli unaujua ila unajitoa ufahamu.TUJIKITE Kujadili hoja Alizotoa Manara kwa kupangua hoja kwa hoja tusimuangalie na kumshambulia Manara tuchambue hoja zake kwa faida ya Simba kulingana na huyu mwekezaji anayelalamikiwa kuwa ni Tapeli
Simba sio kijiwe cha siasa za ccm .. Wenye muda wa kujibu hoja zake wafanye hivyo..hana hata share moja Simba alikuwa mfanyakazi kama wengine, uhitaji wake umefikia kikomo amefanya mazuri apongezwe alipokosea ajitahidi huko aendako ajirekebishe
 
Back
Top Bottom