Manase Fast Courier kusafirisha mizigo duniani kote, mikoani kwa haraka mpaka mlangoni kwako

Manase Fast Courier kusafirisha mizigo duniani kote, mikoani kwa haraka mpaka mlangoni kwako

Manase fast courier

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2021
Posts
571
Reaction score
336
IMG_9001.jpg
 
Nanase fast courier sasa anakuletea huduma ya kusafirisha mizigo yako ndani na nje ya tanzania kwa gharama sahihi, duniani kote, kama unamzigo nje ya nchi uwe mkubwa au mdogo bhasi tuachie sisi tupe adress na location na tutakuletea kwa huduma zote yaani meli, ndege au barabara kutokana na uharaka wako wa mzigo.

Dials: 0744302922 kwa maelezo zaidi.

IMG_2454.jpg
 
karibuni sana bado huduma inapatikana....tusapotini jamani...hatuna kazi nyingine hapa mjini na bado tunaendelea kuwasafirishia mizigo kokote duniani
Nataka kusafirisha mizigo kutoka Arusha Meru kuja Mwanza je itagharimu shilingi ngapi ?

Kitanda, Godoro, kabati na vingine vidogo vidogo.
 
tunaendelea kuhamisha watu kwa ustarabu mkubwa...ukitaka kuhama dar kwenda mikoa yote tunakuhamisha..karibuni sana...tupo dar kinyerezi...dials 0744302922

Anayehama Dodoma kuja Dar
Ana vitu kama vitanda, friji, makabati, vyombo including meza n.k
Bei makadirio?
 
Back
Top Bottom