Manase Fast Courier kusafirisha mizigo duniani kote, mikoani kwa haraka mpaka mlangoni kwako

Manase Fast Courier kusafirisha mizigo duniani kote, mikoani kwa haraka mpaka mlangoni kwako

Anayehama Dodoma kuja Dar
Ana vitu kama vitanda, friji, makabati, vyombo including meza n.k
Bei makadirio?

300000...350000...400000 inategema na huduma anayotaka...kama kuvisafirisha na kuja kuvipanga na kukufungia kila kitu including dish tv ukutani mapazia ww ni kulala tu...au anataka vifungwe na kusafirisha tu kuna mtu atavipokea...so kikubwa nikujua anavitu gani halisi vyote na anataka huduma gani
 
Mleta mada waambie ninyi ni waaminifu na mnatunza siri za wateja wenu hata kama mteja kahamia kwa mchepuko/danga lake.
 
Back
Top Bottom