Manchester city 4-0 Afc Bournemouth (23.12.2017, Bado Pep hakamatiki.

likandambwasada

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
5,402
Reaction score
6,081
Sioni wa kumzuia Man city kuchukua ubingwa kwa sababu leo imeendelea kushinda 4 kwa 0 dhidi ya team ambayo man utd walishnda kwa mbinde 2-1

Pep lazima anyakue ndoo, maurinho kachemka na mbinu yake ya kudefend.

Sasa wanaongoza kwa tofauti ya point 14 dhidi ya manchester utd..

Pep is a professional manager
 
mbona umesema wanaongoza dhidi ya Man u [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...

inamaana nyie wengine mmejitoa tayari?

au Epl Man u ndo kioo cha Ligi?????
 
kama makocha wenu tayari wame nyoosha mikono juu mwendo wa mateka... ninyi ni nan...
 
Nimeamua kuhamia Man City ili kuunga mkono juhudi za Pep kuchukua ubingwa wa EPL, manaa yale yote niliyokuwa nayapigania na timu yangu ndiyo yanayofanywa na awamu hii Man City chini ya kocha Guardiola.
umeamua kuwa mwazi mkuu safi sana aisee
 
SASA mbona mnasifu sana huyu guardiola wakati mechi bado sana second round, tuna mechi 18 second round, atafungwa TU.
Huyu huyu guardiola sisi Chelsea tulimgonga mechi zote mbili.
LKN huyu huyu guardiola akiwa Barcelona, sisi Chelsea tulimtoa semifinal UEFA champions league na tuliingia FINAL na Bayern tukachukua ndoo tukiwa na kocha WA kawaida Roberto DE Mateo, akina drogba na
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…