Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Typing errors mkuu, na sizani kama hiyo n big Stori maana hapo unajua Tu nilichokua namaanisha... BTW hiyo 2006 hata City alikua Hana hadhi ya kua top 4 achilia mbali kubeba ubingwaKumbe Leicester alichukua ubingwa 2006[emoji1745]
Madrid Ile Fainali ya mwaka juzi ndo niliamini uchawi upo maana tulipiga shot on target 9 bila kupata Goli [emoji848][emoji1787]Vile tunavibutua vitimu kule magoli 5 nk Sevilla mwenye kombe lake Euro hayupo, tuna imani tutabeba. Tuna hasira sana na UEFA msimu ujao, tushiriki kwa kuwa mabingwa wa EUROPA na pia kwa kuwa Top 4 EPL
Madrid ile game ya 2018 hatutaisahau...ilikuwa tumpige goli za kutosha, kabla ya Ramos kumuumiza Salah
Pia msimu wa 2021/2022 Man City alibeba ubingwa kwa point moja tu [93] zidi ya Liverpool [9]Lakini pia msimu wa 2018/19 City alishinda kombe Kwa mbinde ambapo alimzidi Liverpool point moja Tu... Alikua na point 98 huku liver akiwa na point 97!!..... Msimu uliofata liver alichukua kombe Kwa points 99...
Ligi bado mbichi hii lkn kumbuka Man city kwa zaidi ya misimu sita au saba mpaka sasa huwa anaibuka mwishoni kabisa na abeba kombeKwahiyo bado ni mapema Sana Mzee ndo Kwanza tupo game week ya 11...
Pia msimu wa 2021/2022 Man City alibeba ubingwa kwa point moja tu [93] zidi ya Liverpool [9]
Ligi bado mbichi hii lkn kumbuka Man city kwa zaidi ya misimu sita au saba mpaka sasa huwa anaibuka mwishoni kabisa na abeba kombe
Ngoja tusubiriPia msimu wa 2021/2022 Man City alibeba ubingwa kwa point moja tu [93] zidi ya Liverpool [9]
Ligi bado mbichi hii lkn kumbuka Man city kwa zaidi ya misimu sita au saba mpaka sasa huwa anaibuka mwishoni kabisa na abeba kombe
Arsenal msimu uliopita alizingua sana, kaongoza ligi weeee...halafu akarudi kwenye default modeKuanzia February pale ndo bingwa anaanza kujulikana. Zikibaki mechi 10 uko nyuma ya city hata kwa point 1 basi sahau ubingwa[emoji2][emoji2]
Unafatilia mpira au!? Unajua Jana Haaland alicheza DK ngapi? Kwahiyo Ballon'dor hutolewa Kwa kufunga game moja?Halland goals 6 yeye hata Moja hamna, afu ndo center forward afu ndo apewe Balondooow[emoji1787][emoji1787]
Klopp akiondoka Liverpool itapiga hatua kubwa nyuma,vile vile Gadiola akiondoka Man city kazi wanayo,pamoja na wachezaji wazuri na hela ila bila kocha mzuri ni kazi bure,ndo maana mzee Ferguson alipostaafu man u ikawa kama Mtibwa.Mkuu, unajua ni kama vile Liverpool asivyoogopa mechi za UEFA huku kwenye ligi kunamsumbua sumbua. Madrid when it comes to UEFA ni kama utamaduni vile, watafanya kila wawezavyo kulibeba. Wanatuzidi kwa uzoefu.
Hata historia inawabeba mzee, wamebeba mara 13 sijui.. lile ni kama kombe lao hivi..
Ila uteja ni tukikutana nao kuanzia nusu fainali, ikiwa ni hatua za makundi huku tunawapiga tu
Man U hawakujiandaa na maisha baada ya FergusonKlopp akiondoka Liverpool itapiga hatua kubwa nyuma,vile vile Gadiola akiondoka Man city kazi wanayo,pamoja na wachezaji wazuri na hela ila bila kocha mzuri ni kazi bure,ndo maana mzee Ferguson alipostaafu man u ikawa kama Mtibwa.
Man U hawakujiandaa na maisha baada ya Ferguson