Manchester City bado itatawala sana

Kumbe Leicester alichukua ubingwa 2006[emoji1745]
Typing errors mkuu, na sizani kama hiyo n big Stori maana hapo unajua Tu nilichokua namaanisha... BTW hiyo 2006 hata City alikua Hana hadhi ya kua top 4 achilia mbali kubeba ubingwa
 
Madrid Ile Fainali ya mwaka juzi ndo niliamini uchawi upo maana tulipiga shot on target 9 bila kupata Goli [emoji848][emoji1787]
Ndo maana baada ya game Thibaut Courtois alionekana shujaa... Lakini ipo Yao siku
 
Lakini pia msimu wa 2018/19 City alishinda kombe Kwa mbinde ambapo alimzidi Liverpool point moja Tu... Alikua na point 98 huku liver akiwa na point 97!!..... Msimu uliofata liver alichukua kombe Kwa points 99...
Pia msimu wa 2021/2022 Man City alibeba ubingwa kwa point moja tu [93] zidi ya Liverpool [9]
Kwahiyo bado ni mapema Sana Mzee ndo Kwanza tupo game week ya 11...
Ligi bado mbichi hii lkn kumbuka Man city kwa zaidi ya misimu sita au saba mpaka sasa huwa anaibuka mwishoni kabisa na abeba kombe
 
Pia msimu wa 2021/2022 Man City alibeba ubingwa kwa point moja tu [93] zidi ya Liverpool [9]
Ligi bado mbichi hii lkn kumbuka Man city kwa zaidi ya misimu sita au saba mpaka sasa huwa anaibuka mwishoni kabisa na abeba kombe

Kuanzia February pale ndo bingwa anaanza kujulikana. Zikibaki mechi 10 uko nyuma ya city hata kwa point 1 basi sahau ubingwa[emoji2][emoji2]
 
Ngoja tusubiri
 
Kuanzia February pale ndo bingwa anaanza kujulikana. Zikibaki mechi 10 uko nyuma ya city hata kwa point 1 basi sahau ubingwa[emoji2][emoji2]
Arsenal msimu uliopita alizingua sana, kaongoza ligi weeee...halafu akarudi kwenye default mode
 
Arsenal msimu uliopita alizingua sana, kaongoza ligi weeee...halafu akarudi kwenye default mode

Msimu ambao arsenal alitakiwa kuchukua ubingwa ni 2015/2016 lakini akaacha Leicester City akachukua. Ni ngumu sana arsenal kuchukua EPL.
 
Halland goals 6 yeye hata Moja hamna, afu ndo center forward afu ndo apewe Balondooow🤣🤣
 
Halland goals 6 yeye hata Moja hamna, afu ndo center forward afu ndo apewe Balondooow[emoji1787][emoji1787]
Unafatilia mpira au!? Unajua Jana Haaland alicheza DK ngapi? Kwahiyo Ballon'dor hutolewa Kwa kufunga game moja?
 
Nawakumbusha kuwa Pep bado yupo. Msimu ujao Arsenal wakikaa vibaya jamaa anabeba tena ndoo.
 
Klopp akiondoka Liverpool itapiga hatua kubwa nyuma,vile vile Gadiola akiondoka Man city kazi wanayo,pamoja na wachezaji wazuri na hela ila bila kocha mzuri ni kazi bure,ndo maana mzee Ferguson alipostaafu man u ikawa kama Mtibwa.
 
Man U hawakujiandaa na maisha baada ya Ferguson
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…