Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwa man city hawa....Mancity huenda ikashindwa kunyakua ubingwa EPL. Ita draw mechi yake moja na kushindwa mbili. Na Manchester united kushinda mechi zake zote 4 zilizobakia nakunyakua ubingwa
all results all possibleSio kwa man city hawa....
Ni kweli kabisa kwenye mpira lolote laweza kutokea. City kabakiza mechi 3 Newcastle, Brighton na Aston Villa wote vibonde lakini wabishi.all results all possible
Hapana sijamuiga PETER DRURY bali nimemuiga MWANAIDI MAGUIRE!Kwenye EPL City anachukua mapema tu na Newcastle.
Newcastle huwa hafurukuti hata kidogo kwa City. Tena siku hiyo atakula mvua za kutosha.
Japo natamani sana hayo mahesabu yako yawe hivyo lakini haiwezekani.
Halafu hiyo heading umemuiga PETER DRURY
Mbona husemi united kabakisha na nani?Ni kweli kabisa kwenye mpira lolote laweza kutokea. City kabakiza mechi 3 Newcastle, Brighton na Aston Villa wote vibonde lakini wabishi.
City ata draw na Newcastle, atanyukwa na Birghton na Aston Villa. Hapo atakuwa na point 81.
Manchester united atashinda mechi zake zote nne zilizosalia nakufikisha points 82.
Kwa iyo city msimu huu itajivunia tu taji la carebou kwasababu kwenye Uefa inform Chelsea italitwaamapema ikiongozwa na wamatumbi wenzetu Rudiger na kante.
Umeongea kinyume chakeNi kweli kabisa kwenye mpira lolote laweza kutokea. City kabakiza mechi 3 Newcastle, Brighton na Aston Villa wote vibonde lakini wabishi.
City ata draw na Newcastle, atanyukwa na Birghton na Aston Villa. Hapo atakuwa na point 81.
Manchester united atashinda mechi zake zote nne zilizosalia nakufikisha points 82.
Kwa iyo city msimu huu itajivunia tu taji la carebou kwasababu kwenye Uefa inform Chelsea italitwaamapema ikiongozwa na wamatumbi wenzetu Rudiger na kante.
DahUmeongea kinyume chake
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Man u atamuwezea Leicter?Ni kweli kabisa kwenye mpira lolote laweza kutokea. City kabakiza mechi 3 Newcastle, Brighton na Aston Villa wote vibonde lakini wabishi.