Manchester City hatofungwa leo, msije mkasema sijawapa tahadhari

Manchester City hatofungwa leo, msije mkasema sijawapa tahadhari

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Baada ya kuchezea vipigo mfululu, Man City leo yupo ugenini Anfield kucheza na vinara wa ligi Liverpool

Mechi ya leo, Man City hatofungwa. Hesabu za kinyota zinaonyesha kabisa leo Liverpool sio siku yao pendwa.

Tukutane baada ya dakika 90
 
BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.

1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.

Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.

LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.

2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.

1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.
3.Magonwa na Maradhi.

4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo

6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk

MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.

OKOENI TAIFA LENU LEO.
MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
 
Baada ya kuchezea vipigo mfululu, Man City leo yupo ugenini Anfield kucheza na vinara wa ligi Liverpool

Mechi ya leo, Man City hatofungwa. Hesabu za kinyota zinaonyesha kabisa leo Liverpool sio siku yao pendwa.

Tukutane baada ya dakika 90
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ahahhhhh
Liverpool inatisha kama jini
Screenshot_20241201-211945_1.jpg
 
Back
Top Bottom