Manchester City kukosa mataji yote mawili EPL na FA. Wabahatishaji Arsenal bingwa leo

Ngoja nijifikirie kwanza halafu nitasema jambo ila kwa sasa tuanze mbali kidogo
 
Chance kubwa kwa Arsenal,wanipigie mtu 2 kwa nunge
 
N
Naiogopa hiyo baadaye mno, natamani hata isifike.
Mungu ibariki Arsenal yangu.
Pole. Kombe hamuwezi kupata. Game mliyopoteza dhidi ya eveton ndio imewagharimu.

Jipangeni kwa msimu ujao, ambao utakuwa mgumu zaidi. Chelsea naye anaingia kwenye kinyanganyiro.
 
We mbusi. Dakika chache zijazo Westham wanasambaratishwa kinyama
 
Tumekubaliana kila mtu ashinde mechi zake, Ubingwa pekee kwa Arsenal ni kuliiba kombe
 
Kumekuchaaaaa!
Leo mtu anaenda vuliwa kyupi live!
Ngoja tuone leo kama zee la Stoo la vilipuzi kama litailipua London!

Today is great fire of London or Prague?
😁😁
 
unaota
 
Man City ana point 88 mpaka Muda huu anaongoza Goli 2-0 tayari ana point 3 hapo jumla 91

Arsenal mpaka Muda huu hajapata hata Goli 1

Man City Bingwa wa EPL 2023/2024
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] unajisikiaje hadi muda huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…