pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,444
- 2,737
1x2+Ole wenu mnaocheza kamari na kufikiri kuwa Man City inaenda kutolewa leo,
Mtazamo wangu unanionesha jinsi Mancity walivyojiandaa kuushangaza ulimwengu
wa soka kwa kutinga fainali ambako wataenda kukutana na A.Madrid.
Ushauri wangu, wekeza hata nyumba kwa nyumba na nakuhakikishia utaibuka na
Nyumba nyingine leo.