................Manchester city v Liverpool............

................Manchester city v Liverpool............

Joined
Mar 19, 2018
Posts
83
Reaction score
53
Kitu pekee ambacho Guardiola anatakiwa awe anamshukuru Mungu...... Katika maisha yake ya ukocha. Nikupata bahati ya kumfundisha Messi. Enzi alipokuwa kwenye kilele cha kiburi, jeuri, na ubabe....... Huku akifanya ukatili wa kuitetemesha mikono ya wazee kama Ferguson.

Ni sababu alikuwa akiishi kwenye safina....... Iliyokuwa ikiendeshwa na miujiza inayoishi kwenye viatu vya Lionel Messi.

Tangu ilipovunjika ndoa ya Messi na pep. Simulizi ya Guardiola usiku wa Ulaya imejaa simanzi na huzuni kila anakopita........ Mbinu zake zinapopata utasa nakushindwa kuzalisha magoal.

Pep anakosa mtu mwenye uwezo wa kuibeba timu kwa uwezo binafsi....... Kitu pekee ambacho Guardiola anawashinda mameneja wengine kwa jana usiku wa Ulaya ni Nikumiliki suruali nyingi zilizo katika mtindo wa model.

"Mpira siyo pesa kweli"
 
Back
Top Bottom