Manchester city wamepigwa ndoige huko. Arsenal juuuu

Arsenal anaongoza ligi cuz kapoteza point chache dhidi ya timu zingine. Ulitaka Guardiola afanye nini ili arsenal wasishinde mechi? De bruyne alicheza dhidi ya Man utd na bado Man city walipoteza mechi, hatukusikia malalamiko, Cancelo hakucheza dhidi ya Arsenal FA cup na City walishinda mchezo, hatukusikia malalamiko, ulitaka pep afanye nini ili ashinde kila mechi? Man city kapoteza last season mechi zote dhidi ya Spurs, Je ni kwamba De bruyne hakucheza ndio maana wakapoteza? Na ikiwa hakucheza, je Pep alikuwa anamdefend Arteta achukue ubingwa? Mnaandika kimihemko vitu havina logic, idiot.
 
Jf kuna wagonjwa wengi sana wa akili

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…