- Thread starter
- #21
Labda ndoo ya togwaNa man u akizichanga karata vzr anabeba ndoo.Aendelee kukimbiza mwizi kimya kimya
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ndoo ya togwaNa man u akizichanga karata vzr anabeba ndoo.Aendelee kukimbiza mwizi kimya kimya
Man u alikupiga old traffordPia kumbuka kuwa tumemfunga Man united na Tottenham home and away. So usituchukulie poa
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
The odds are against you dude.Na man u akizichanga karata vzr anabeba ndoo.Aendelee kukimbiza mwizi kimya kimya
Arsenal anaongoza ligi cuz kapoteza point chache dhidi ya timu zingine. Ulitaka Guardiola afanye nini ili arsenal wasishinde mechi? De bruyne alicheza dhidi ya Man utd na bado Man city walipoteza mechi, hatukusikia malalamiko, Cancelo hakucheza dhidi ya Arsenal FA cup na City walishinda mchezo, hatukusikia malalamiko, ulitaka pep afanye nini ili ashinde kila mechi? Man city kapoteza last season mechi zote dhidi ya Spurs, Je ni kwamba De bruyne hakucheza ndio maana wakapoteza? Na ikiwa hakucheza, je Pep alikuwa anamdefend Arteta achukue ubingwa? Mnaandika kimihemko vitu havina logic, idiot.Kuna mdau alianzisha thread kwamba Guardiola anamtengenezea mazingira arteta achukue ubingwa leo ndio nimeamini unamuweka kdb nje bila sababu halafu unataka ushindi yule guy anaihujumu team alimuweka joao cancelo nje bila sababu mpaka mwenyewe akaaamua kuondoka.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Jf kuna wagonjwa wengi sana wa akiliArsenal anaongoza ligi cuz kapoteza point chache dhidi ya timu zingine. Ulitaka Guardiola afanye nini ili arsenal wasishinde mechi? De bruyne alicheza dhidi ya Man utd na bado Man city walipoteza mechi, hatukusikia malalamiko, Cancelo hakucheza dhidi ya Arsenal FA cup na City walishinda mchezo, hatukusikia malalamiko, ulitaka pep afanye nini ili ashinde kila mechi? Man city kapoteza last season mechi zote dhidi ya Spurs, Je ni kwamba De bruyne hakucheza ndio maana wakapoteza? Na ikiwa hakucheza, je Pep alikuwa anamdefend Arteta achukue ubingwa? Mnaandika kimihemko vitu havina logic, idiot.
Mmmmh