Manchester City yachezea kichapo cha magoli 2 kwa 1 mbele ya Brighton

Manchester City yachezea kichapo cha magoli 2 kwa 1 mbele ya Brighton

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Timu ya ManchesterCity imepoteza mechi ya pili mfululizo katika PremierLeague baada ya kukubali kichapo cha Magoli 2-1 kutoka kwa Brighton, leo Agosti 31, 2025.

Mchezo uliopita City ilipoteza kwa 2-0 dhidi ya TottenhamHotspur, hivyo iimesaliwa na pointi 3 katika michezo mitatu ya EPL msimu huu wa 2025/6, mtanange ujao ni Septemba 14, 2025 dhidi ya ManchesterUnited.


1756616689841.png
 
Back
Top Bottom