Manchester city yasherekea ushirikiano wakimataifa na tecno mobile

Tecno inatoa simu ambazo bei yake ni reasonable sana, yaweza kua ram zipo slow (sijajua za faster zikoje) kama mdau mmoja alivyosema, lakini kwa gharama zake naona ram zake hazina tatizo.

Hizi soc za mediatek siyo Tecno pekee wanaotumia hata HTC nishakutana na simu inayotumia mediatek.

List of devices using Mediatek SoCs - Wikipedia

Sijajua ubovu wa kamera mdau kausema kutokea engo gani lakini kuna mtandao ulifananisha kamera ya Tecno C8 na iphone 6 ubora wake katika mazingira ya gizani.

Hapa bado hatujatia into account the reality kwamba simu za Tecno zinakaa sana na chaji kama ukizifananisha na smartphones zingine kama itaachwa haiwezi kua mbali hivyo (nilitumia 1+ na yenyewe inakaa na chaji sana).

Chief-mkwawa
 
Kwa hiyo wewe shida yako ni chaji? Zinakaa na chazi coz hazina option nying kama smartphone halisi hivyo ni sawa
 
Kwa hiyo wewe shida yako ni chaji? Zinakaa na chazi coz hazina option nying kama smartphone halisi hivyo ni sawa
Hahahahahaha kwani kuna ishu ya gan ya smartphone tecno haina
 
Tecno+ sabufa+ Toyota mades kwangu Ni marufuku isiyo na mwisho .
 
Umeongea vyema! Hujajua ladha ya aina nyengine ya Simu. Siku ukijua ladha ya aina nyengine ya simu ndio utajuwa watumiaji wa Tecno wanteseka. Ila wanajifariji tu kwavile ndio uwezo wao.
 
Umeongea vyema! Hujajua ladha ya aina nyengine ya Simu. Siku ukijua ladha ya aina nyengine ya simu ndio utajuwa watumiaji wa Tecno wanteseka. Ila wanajifariji tu kwavile ndio uwezo wao.
hizo simu nilizotaja hapo nimezitumia kama reference tu, ila binafsi nimeshatumia simu za aina nyingi tu.
 
hizo simu nilizotaja hapo nimezitumia kama reference tu, ila binafsi nimeshatumia simu za aina nyingi tu.
Sio kweli! ungetumia simu za aina nyingi ungukuwa unajuwa tifauti zilizopo mbona umesema hujui!!!!
 
Watu wanaotumia Tecno wako desperate sana.
Sijui kwanini huwa wanatumia nguvu nyingi kutuaminisha wanachokitumia ni bora ilhali wao hujisifu ni simu bora.

Hii kitu huwezi kuikuta kwa Samsung wala iPhone kabisa.
Really? Wengine hatujali tu. Umenikumbusha sister du mmoja alinishangaa natumia Tecno nikamwambia mimi ninaetumia Tecno lakini nina afford kununua gari kama hili nililokuja nalo huku uswekeni kwenu ila wewe unaetumia Samsung Galaxy huwezi kuafford hata hela ya bajaj!
 
Siku akiacha kutumia tecno ndio utajua kawa ulikuwa unateseka. Ntatumia tecno siku nikiwa sina uwezo wa kumiliki aina nyengine ya simu.
Mimi nilikuwa natumia BB kuanzia 2007 zile latest, wakati huo im sure asilimia kubwa ya wachangiaji wengi hapa walikuwa hawajui hata BB ni nini. Ila nimetumia Tecno na sasa hivi natumia Huawei wala sioni issue, ila kuna ukweli kuwa ufanyaji wake kazi huwezi kulinganisha na high end smartphone.
 
Utakimbiwa na atoto!!!
Atahisi ubahili wako umefikia 200%
 
hata waingie mkataba na Barcelona bado tecno ni simu isiyo na viwango.
 
Mkuu na wewe hapa umeandika fact za kuchuana na Chief Mkwawa kwenye anga za Electronics?

Haaaa alafu kwanini watumia Tecno wengi ni watu wa kujihami?
 
Sio kweli! ungetumia simu za aina nyingi ungukuwa unajuwa tifauti zilizopo mbona umesema hujui!!!!

Hapa sasa unataka kuleta ubishi, mimi nimeanza kutumia simu enzi hizo simu kali ni G tide ina wimbo nusu wa Shakira na Jean.

Wewe hii simu yako ya ngapi? Hata keyboard unaiogopa hivyo.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mkuu na wewe hapa umeandika fact za kuchuana na Chief Mkwawa kwenye anga za Electronics?

Haaaa alafu kwanini watumia Tecno wengi ni watu wa kujihami?
Nimejibu kwa kadri ninavyojua na ninavyoona, sichuani. Mtu akiongea hoja unakubaliana naye kama una hoja ya kuonesha alichoongea sicho unampa, hauna unakaa kushoto na kumpa like.
 
Naona sasa TeamTecno mtaweza kutembea vifua mbele na simu zenu bila kuficha Logo na ma sticker tofauti tofauti... Baada ya miaka 7 au 10 hivi waki invest vizuri wanaweza karibia kina Apple, Samsung, Huawei, ZTE, HTC, Sony, One Plus n.k

Mimi nina Tecno na sijutii kuitumia nipo na Tecno H7 since Sept 2014.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…