Manchester city yasherekea ushirikiano wakimataifa na tecno mobile

mie mwenyewe natumia tecno phantom 6+ aisee ni bonge la simu yaani hata hayo mabomu yenu ya kulipuka ya samsung sina hata muda nayo maana naona kama matakataka kwa sasa maana nimetumia hayo masimu yenu na kwa sasa nimebadili mfumo
 
Mimi nina Tecno na sijutii kuitumia nipo na Tecno H7 since Sept 2014.
Hata mimi back in the day naama kwenye Blackberry nikaingia kwenye Huawei zile za promotion nikawa na fikiria hivo hivo... lakini siku nilivyo weza kuaffford High end devices nikaelewa. Nilivyo kuwa gizani na siwezi rudi hata nikiona Tecno chini fully boxed nitaokota na kuuza sio kutumia.. so ipo siku utakiri tu.
 

Sio kwamba sina hela za kununua simu za 1.0m TZS ila sijaona ubaya wa kutumia Tecno H7,nasoma na kujibu mails ,napata mawasiliano mazuri ,napata internet vizuri na kwa necha ya kazi yangu sijahitaji simu ya RAM kubwa sana kwa sasa mkuu.
 
Nafikiri kunajambo linawatatiza wengi kuhusu China na bidhaa zao.
Si kwamba China haiuzi bidhaa zake katika soko la ulaya na America,
Inafanya sana biashara, ubora wa bidhaa inayokwenda ulaya na America ni tofauti na tunao letewa Africa, hii ni kutokana na uwezo wa kiuchumi wa mtu mmoja mmoja.
Tecno ni moja ya cm bora muda si mrefu itakua sawa tu na hao wanaodhiwa kua ni bora zaidi.
 
Naona sasa TeamTecno mtaweza kutembea vifua mbele na simu zenu bila kuficha Logo na ma sticker tofauti tofauti... Baada ya miaka 7 au 10 hivi waki invest vizuri wanaweza karibia kina Apple, Samsung, Huawei, ZTE, HTC, Sony, One Plus n.k
Halafu watu wavyopendaga majina !!!! Hiyo Samsung cm inashinda kwenye chaji nayo yakujisifia kweli. Halafu ni kipi ambacho mtumiaji wa hizo mnaita cm bora anaweza fanya hakiwezekani katika tecno?
 
Sio bajaji kifurushi cha week kwenye cm yake mgogolo
 

Ulichokisema nimewahi kukisoma humu, nimesahau alisema nani na ktk thread gani.

Hongera kwa kumiliki gari,mimi nisiyeweza kumiliki gari simu nzuri pia inishinde?
Kwani bei ya galaxy ni sawa na bei ya gari?

Halafu kila mtu na kipaumbele chake,mimi napenda kumiliki simu nzuri,gari nitapanda hata daladala.
 
Halafu watu wavyopendaga majina !!!! Hiyo Samsung cm inashinda kwenye chaji nayo yakujisifia kweli. Halafu ni kipi ambacho mtumiaji wa hizo mnaita cm bora anaweza fanya hakiwezekani katika tecno?

Embu nipostie "screen on time" yako kwa hiyo simu yako inayokaa na chaji sana maana kila siku naposti zangu hamna mwenye Tecno a aback hiyo claim ya kwamba Tecno zinakaa na charge.

Usiwe unaongea tu "simu yangu inakaa na charge" wakati huitumii, data zangu hizo angalia hapo ni daily use yangu Facebook, whatsapp, reddit, youtube, Facebook messenger n. K post yako hiyo ni kwa wireless continuous 6hrs plus, na 4G napata kama 4hrs na nusu. Tecno na ma Mediateck cpu yenu ukipata screen on time juu ya masaa 2 na 3g au 4g bahati.

Msiwe mnaongea mambo msio yaelewa na tofauti ya simu bora na Tecno ni nyingi sana camera bora, ram bora, memory bora, audio bora, screen quality bora, water resistance bora, Soc bora, finger print sensor bora, battery bora, fast charging bora n. K
 

Attachments

  • Screenshot_20161023-201015.png
    86.7 KB · Views: 44
  • Screenshot_20161023-201015.png
    86.7 KB · Views: 39
  • Screenshot_20161023-201015.png
    86.7 KB · Views: 37
Kwahio na sisi wenye Tecno sio kwamba tunashindwa kununua hizo nyingine. Mimi ndio uliomsikia mwanzo kusema hiki nilichosema leo.
 
Kwahio na sisi wenye Tecno sio kwamba tunashindwa kununua hizo nyingine. Mimi ndio uliomsikia mwanzo kusema hiki nilichosema leo.
Sijasemwa mnashindwa my dear,nimesema mko desperate kutudhihirishia ni simu bora.
 
Sijasemwa mnashindwa my dear,nimesema mko desperate kutudhihirishia ni simu bora.
Honestly....Tecno haiwezi kuwa bora kama Samasung,HTC achilia mbali iphone,BB. Tuwe wakweli, ni kwamba ukiwa nayo unaweza kufanya chochote kama simu ingine ila sio bora kama hizo nilizotaja.
 
Sio kwamba sina hela za kununua simu za 1.0m TZS ila sijaona ubaya wa kutumia Tecno H7,nasoma na kujibu mails ,napata mawasiliano mazuri ,napata internet vizuri na kwa necha ya kazi yangu sijahitaji simu ya RAM kubwa sana kwa sasa mkuu.

Unaweza kuwa na million moja hiyo lakini ina mahesabu mengi ukinunulia simu unalala njaa mwezi mzima ndio maana unakaa na H7 kwa mtu mwenye disposable income ya kutosha hawezi kutumia H7.

Lakini sawa maana siku jui unaweza kuwa umeridhika na Tecno yako sio kosa
 
I hate tecno simu yoyote ya tecno ukiitumia kwa zaidi ya miezi sita lazima ianze kuwa nzito inastack stack bila sababu, kwa mfano ukizima data kwa muda mrefu ukiwasha inabidi uiache kama dakka tano hivi mana inaganda tu na hio haijalishi version yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…