Manchester City yatwaa Ubingwa wa EPL msimu wa 2017/18

Manchester City yatwaa Ubingwa wa EPL msimu wa 2017/18

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Klabu ya Manchester City imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Ya Uingereza ( EPL ) baada ya timu iliyokuwa inamfukuzia ya Man Utd kufungwa leo na timu ya West Brom inayoshika mkia katika msimamo wa ligi hiyo, na kufanya Man Utd isiweze kufikia point za Man City kwa michezo iliyobaki.

Hongereni sana Manchester City, mmestahili ubingwa.
Da1qw7TWsAIFXhk.jpg
 
Team yeyote ikishachukua ubingwa england ndo mwanzo wa kupotea mfano, lecister, Chelsea, wote hoiii
 
Back
Top Bottom