Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Klabu ya Manchester City imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Ya Uingereza ( EPL ) baada ya timu iliyokuwa inamfukuzia ya Man Utd kufungwa leo na timu ya West Brom inayoshika mkia katika msimamo wa ligi hiyo, na kufanya Man Utd isiweze kufikia point za Man City kwa michezo iliyobaki.
Hongereni sana Manchester City, mmestahili ubingwa.
Hongereni sana Manchester City, mmestahili ubingwa.