Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hongera Man City ingawa tulitamani sana ingekuwa siku ile. umekuwa ubingwa usiokuwa na shamrashamra za uwanjani kwa sababu ya roho mbaya za majirani
Man city kasota vipi sasa kuchukua ubingwa?Ila Man city amekiona cha moto EPL! Amesota sana kuja kupata ubingwa! Bila shaka ameivulia kofia EPL!
Man city kasota vipi sasa kuchukua ubingwa?
Ila Man city amekiona cha moto EPL! Amesota sana kuja kupata ubingwa! Bila shaka ameivulia kofia EPL!
Man u bhana si bora wange tupa ubingwa siku ile ile tu
Aliandika akiwa na mihemko naonaNdio shangaa sasa,,,mtu amechukuwa ubingwa alafu anasema amekiona cha moto πππ...huyo ndiye Pep.
DuhIla Man city amekiona cha moto EPL! Amesota sana kuja kupata ubingwa! Bila shaka ameivulia kofia EPL!
Duh
Hapo wamesota napo kwan
Mi najua man city katembeza kichapo balaa epl msimu huuView attachment 746007