BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Kasota vipi wakati kachukua ubingwa akiwa na mechi nyingi tu mkononi?!Ila Man city amekiona cha moto EPL! Amesota sana kuja kupata ubingwa! Bila shaka ameivulia kofia EPL!
Hii inasababishwa na nini mkuu?Team yeyote ikishachukua ubingwa england ndo mwanzo wa kupotea mfano, lecister, Chelsea, wote hoiii
Walisema Pep haiwezi EPL teh! teh!Ndio shangaa sasa,,,mtu amechukuwa ubingwa alafu anasema amekiona cha moto πππ...huyo ndiye Pep.
Pep huyu sio yule wa zamani, kwa kuspend kule hela zile alafu akose ubingwa si utakuwa ujinga, msimu uliopita still alikuwa na kikosi kizuri ila ikashindakana ndo ikabidi avunje bank na imemlipa. Money talksWalisema Pep haiwezi EPL teh! teh!
Sasa kwa huo mtazamo wako utamzungumziaje Arsene wenger?!Maana yangu ni kuwa tangu Gurdiola ahamie EPL mpaka kunyakua ubingwa atakuwa ameusotea sana maana hajaja EPL msimu huu!
Walisema Pep haiwezi EPL teh! teh!
Lig ngumu sana ileee,,,,, na huu ndo mwisho wa kumpa ushind man city......Hii inasababishwa na nini mkuu?
Ugumu wake uko wapi? mimi naona team za EPL karibia zote zina mpira wa hovyo tu na usioeleweka na ndio maana unakuta zikikutana hua zinasumbuana na ndio mnatafsiri kua huo ndio ugumu wa ligi!!Lig ngumu sana ileee,,,,, na huu ndo mwisho wa kumpa ushind man city......