Manchester City yatwaa Ubingwa wa EPL msimu wa 2017/18

Manchester City yatwaa Ubingwa wa EPL msimu wa 2017/18

Maana yangu ni kuwa tangu Gurdiola ahamie EPL mpaka kunyakua ubingwa atakuwa ameusotea sana maana hajaja EPL msimu huu!
 
Hii sio breaking news.....ni habari iliyotegemewa kutokea.... Hongera man city.
 
Lig ngumu sana ileee,,,,, na huu ndo mwisho wa kumpa ushind man city......
Ugumu wake uko wapi? mimi naona team za EPL karibia zote zina mpira wa hovyo tu na usioeleweka na ndio maana unakuta zikikutana hua zinasumbuana na ndio mnatafsiri kua huo ndio ugumu wa ligi!!

Team ya mkiani kuifunga team iliyopo juu ni kipimo cha ugumu wa ligi? na ndio maana team za EPL zikikutana na team za Spain huwa hazina ubavu coz hazina mpira unaoeleweka.
 
Back
Top Bottom