Manchester Derby: September 10, 2016, Old Trafford

Manchester Derby: September 10, 2016, Old Trafford

Aisee nasubiria kuona Pep anavyojikunja pindi mchezaji akikosa goli, uzuri ni kua wote wameingia timu ikiwa mbovu japo Man Utd kuna uwezekano mkubwa wa kufungwa kutokana na beki yao kutokuimarika bado.


Timu ipi yenye magoli machache ya kufungwa toka 1 had 3?
 
man utd hamjatulia bado japo mna kocha anayemaind big games!
mkijitahidi saaana mtatafuta draw!

my prediction[emoji107]

man utd 0 vs 1 man city


Chelsea na man city hazijatuliwa zimefumuliwa magoli mengi
 
timu zote hizo ni vimeo tu. timu ambayo inacheza vizuri msimu huu ni chelsea tu ijapokuwa mimi ni fan of asernal
 
Man City watajaribu kucheza mpira ila Man Utd watakuwa wanawazuia. Mourinho ataedit kidogo style ya kupark bus. Draw ndo matokeo ya game.
 
Mechi ya leo ngumu sana, Sijui kama Man U tutachomoka. City wako njema sana.
 
acha wafeeeee piga mbwaaaaaaaa
 
Samahani wakuu! Mwenye link ya live streaming ya hii mechi...
 
Aisee eee kuna ndugu zangu Leo itakuwa mbaya sana kama matokeo yatabak hivyo
 
Bravo anawaangusha Man city yani Man U ilibidi asipate hata cha kusemea
 
Back
Top Bottom