Aisee nasubiria kuona Pep anavyojikunja pindi mchezaji akikosa goli, uzuri ni kua wote wameingia timu ikiwa mbovu japo Man Utd kuna uwezekano mkubwa wa kufungwa kutokana na beki yao kutokuimarika bado.
man utd hamjatulia bado japo mna kocha anayemaind big games!
mkijitahidi saaana mtatafuta draw!
my prediction[emoji107]
man utd 0 vs 1 man city
Na timu gani yenye magoli mengi? ??Timu ipi yenye magoli machache ya kufungwa toka 1 had 3?
Acha uoga mkuu,tutaua leo shaka ondoa..Mechi ya leo ngumu sana, Sijui kama Man U tutachomoka. City wako njema sana.