Manchester United dhidi ya Barcelona kwenye Mtoano wa UEFA Europa League

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
EUROPA: MANCHESTER UNITED YAPANGWA KUIVAA BARCELONA

Timu hizo zimepangwa katika droo leo Novemba 7, 2022 ambapo zitakutana katika Hatua ya Mtoano ya UEFA Europa League, Februari 2023.

Ratiba ya mechi nyingine Juventus dhidi ya Nantes, Sporting CP vs Midtjylland, Shakhtar Donetsk vs Rennes, Ajax vs Union Berlin, Bayer Leverkusen vs Monaco, Sevilla vs PSV Eindhoven, Red Bull Salzburg vs Roma
 
Arsenal imetolewa
 
Hebu nitoeni tongotongo,

Huu utaratibu wa mshindi wa tatu makundi uefa kurudishwa kucheza Europa huwa ukoje.

Vigezo gan vimetumika mpk man Utd apangiwe na Barcelona[emoji848]

Afu na wale wa Europa wanaorudi europa conference, uko nako utataibu ukoje[emoji848]
 
Back
Top Bottom