JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Arsenal imetolewaEUROPA: MANCHESTER UNITED YAPANGWA KUIVAA BARCELONA
Timu hizo zimepangwa katika droo leo Novemba 7, 2022 ambapo zitakutana katika Hatua ya Mtoano ya UEFA Europa League, Februari 2023.
Ratiba ya mechi nyingine Juventus dhidi ya Nantes, Sporting CP vs Midtjylland, Shakhtar Donetsk vs Rennes, Ajax vs Union Berlin, Bayer Leverkusen vs Monaco, Sevilla vs PSV Eindhoven, Red Bull Salzburg vs Roma
Group leader wote hawapo hyo ni playoff ya wale runners kwenye Europa league na waliotolewa UEFA champions ndio maana team kama arsenal na real sociedad hazipo hapo.Arsenal imetolewa
Soka lina nyakati zake na kila timu inayochelewesha transition lazima iishie chini sana kabla ya kurudi upya.Maisha yaneanda kasi
Zamani Man U vs Barca ingekua ni final ya champions league, Leo ni playoff ya UEFA! !???!!
Usiwapendelee, Ni playoffs ya Ueropa na sio UEFAMaisha yaneanda kasi
Zamani Man U vs Barca ingekua ni final ya champions league, Leo ni playoff ya UEFA! !???!!
haaaa,,kwa maluza kule tena hawamo ndo wanapambana play off atakaeshinda abaki.Usiwapendelee, Ni playoffs ya Ueropa na sio UEFA
Ndio mkuu, Kwa lugha nyepesi hao ni reject ya UEFA na Europa [emoji16][emoji16][emoji16]haaaa,,kwa maluza kule tena hawamo ndo wanapambana play off atakaeshinda abaki.
Kwani Europa sio UEFA ?Usiwapendelee, Ni playoffs ya Ueropa na sio UEFA
Zote ni UEFA mkuuKwani Europa sio UEFA ?
Ni sawa na kuuliza VPL cup Ni sawa na MAPINDUZI cup?[emoji1787]Kwani Europa sio UEFA ?
.zote ni UEFA lakini moja ni Futuhi...Kwani Europa sio UEFA ?
Mwambie mashindano ya futuhi hapo ndo ataelewa vizuri.Ndio mkuu, Kwa lugha nyepesi hao ni reject ya UEFA na Europa [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji16]Mwambie mashindano ya futuhi hapo ndo ataelewa vizuri.