Mpigamimba
Senior Member
- Nov 26, 2022
- 198
- 237
Wachezaji a club tajwa Kwa hakika hawakuitwa na timu za nchi zao kwenye world cup tournament na Kwa kweli bora wauzwe wote.
Wamedhihirisha kutoitwa kwaao na Coaches was right kutowaita. Lakini pia wapo ambao nchi zao hazikufuzu na ilikuwa sahihi kutofuzu.
Its just a mathematics and numbers don't lie.
Wewe toa povu tu.