Manchester United imekamilisha Uhamisho wa Nemanja Matic kutoka Chelsea kwa dau la £35Million

Conte kwa nini anawauzia direct rivals wake silaha kali? Hata simuelewi tena bei ya kutupa, sijui mkataba wake ulikuwa unakaribia kuisha??
 
Bolivia inachukua EPL Mchana kweupe kabisa

Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
 
Conte kwa nini anawauzia direct rivals wake silaha kali? Hata simuelewi tena bei ya kutupa, sijui mkataba wake ulikuwa unakaribia kuisha??
Tumepigwa. Man Utd wazee wa kuibiwa Conte angekomaa watoe hata million 50. Well, wametuzidi mbinu. Walijua lazima auzwe kwani Bakayoko tayari yupo ndani ya nyumba. Pressure was on Chelsea to sell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…