Manchester united imsajili Harry Kane iachane na Victor wa Napoli

Manchester united imsajili Harry Kane iachane na Victor wa Napoli

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Nimemuangalia Harry Kane kwa miaka saba mfululizo hajawahi kushuka kiwango ni mshambuliaji hatari, ni mchezesha timu kwa kifupi anacheza namba yeyote pale mbele. Ana displine ya hali ya juu kwenye kazi yake huyu jamaa ana misimu mitano ya nguvu kucheza.

Nimemfuatilia Victor wa Napoli kusema ukweli sio mshambuliaji wa kutisha hasa kwa ligi ya Uingereza anaweza kugeuka flop ndani ya muda mfupi.

Manchester united imwache aendelee kubaki Napoli ili acheze msimu mwingine zaidi.

Harry Kane atawapa manchester united EPL mapema tu
 
1A330593-ED38-4AD8-B4ED-1CDAC1AC8193.jpeg
 
Nimemuangalia harry kane kwa miaka saba mfululizo hajawahi kushuka kiwango ni mshambuliaji hatari,ni mchezesha timu kwa kifupi anacheza namba yeyote pale mbele
Ana displine ya hali ya juu kwenye kazi yake huyu jamaa ana misimu mitano ya nguvu kucheza

Nimemfuatilia Victor wa Napoli kusema ukweli sio mshambuliaji wa kutisha hasa kwa ligi ya uingereza anaweza kugeuka flop ndani ya muda mfupi

Manchester united imwache aendelee kubaki Napoli ili acheze msimu mwingne zaidi

Harry kane atawapa manchester united EPL mapema tu

Victor for future development
 
Acha kumfananisha Victor na vitu vya kijinga , hlo jamaa liache tuu
 
Wachezaji wa Uingereza ni bei ghali sana. Sasa kumpata huyu Mwamba ni kazi sana labda mkataba wake ukaribie kuisha
 
Nimemuangalia Harry Kane kwa miaka saba mfululizo hajawahi kushuka kiwango ni mshambuliaji hatari, ni mchezesha timu kwa kifupi anacheza namba yeyote pale mbele. Ana displine ya hali ya juu kwenye kazi yake huyu jamaa ana misimu mitano ya nguvu kucheza.

Nimemfuatilia Victor wa Napoli kusema ukweli sio mshambuliaji wa kutisha hasa kwa ligi ya Uingereza anaweza kugeuka flop ndani ya muda mfupi.

Manchester united imwache aendelee kubaki Napoli ili acheze msimu mwingine zaidi.

Harry Kane atawapa manchester united EPL mapema tu
Usijali osihmen anaenda Chelsea.
 
Back
Top Bottom