uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Nimemuangalia Harry Kane kwa miaka saba mfululizo hajawahi kushuka kiwango ni mshambuliaji hatari, ni mchezesha timu kwa kifupi anacheza namba yeyote pale mbele. Ana displine ya hali ya juu kwenye kazi yake huyu jamaa ana misimu mitano ya nguvu kucheza.
Nimemfuatilia Victor wa Napoli kusema ukweli sio mshambuliaji wa kutisha hasa kwa ligi ya Uingereza anaweza kugeuka flop ndani ya muda mfupi.
Manchester united imwache aendelee kubaki Napoli ili acheze msimu mwingine zaidi.
Harry Kane atawapa manchester united EPL mapema tu