MANCHESTER UNITED: KIBONDE WA ENGLAND

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
mimi ndimi.

Hawa mapimbi ni timu yangu ila kwasasa nataka nihamie niende man city!

hawa makima kusajili wanasajili wachezaji wa kawaidaaaa, utadhani wanaenda kushindana na NAMUNGO FC!

kwa style hii man yuuu kuchukua Kombe itakua mtihani aseeeee



kweli man yuuu imekua ya kiboya watu wanaenda kujilia pesa zabure.. itafikia wakati wachezaji umri ukiwatupa mkono hawataenda China tena wataenda Man yuuuu kuvuna Pension.

kumbaafuuuuu!


 
Uko wapi kesho nikitoka ofisini nikupitie nikupeleke ukapajue..
Uoge kabisa lakini na upake mafuta. Kesho jioni nikupitie.
Me nataka nikusaidie tu dogo.
wewe nipe tu dada yako nimtindue, hapo utakua msaada mkubwa sana kwangu

oohhooo
 
dogo uko maeneo gani, nahitaji kijana wa kunioshea magari yangu kila weekend, mashine ninayo.mshara ni mnono, uje ukiwa smart kidogo usiwe vululu vululu sana.
Hahaha

Mkuu , nisaidie hiyo kazi [emoji28][emoji1]
 
[emoji45] [emoji45] [emoji45] Kipepee unazingua

Smart guy
 
Miaka mitatu iliyopita liverpool walisajili wachezaji hao hao wa kawaida. Watu waliwacheka mwanzoni..leo hii ndio wamechukua uefa. Mpira ni malengo.. kama unataka instant success nenda real madrid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…