comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
mimi ndimi.
Hawa mapimbi ni timu yangu ila kwasasa nataka nihamie niende man city!
hawa makima kusajili wanasajili wachezaji wa kawaidaaaa, utadhani wanaenda kushindana na NAMUNGO FC!
kwa style hii man yuuu kuchukua Kombe itakua mtihani aseeeee
kweli man yuuu imekua ya kiboya watu wanaenda kujilia pesa zabure.. itafikia wakati wachezaji umri ukiwatupa mkono hawataenda China tena wataenda Man yuuuu kuvuna Pension.
kumbaafuuuuu!