MANCHESTER UNITED: KIBONDE WA ENGLAND

MANCHESTER UNITED: KIBONDE WA ENGLAND

Kwasasa liver wamechukua UEFA na wchezaji wa kawaida? Mane utamlingalisha na Lukaku?
Salah ni sawa na Rashford?
VVD na smalling wapi na wapi?
Miaka mitatu iliyopita liverpool walisajili wachezaji hao hao wa kawaida. Watu waliwacheka mwanzoni..leo hii ndio wamechukua uefa. Mpira ni malengo.. kama unataka instant success nenda real madrid
 
Kwasasa liver wamechukua UEFA na wchezaji wa kawaida? Mane utamlingalisha na Lukaku?
Salah ni sawa na Rashford?
VVD na smalling wapi na wapi?
Ninacho sema. Wkt kikosi hiki kinaanza.. kuna mtu alikuwa anamjua salah, kuna mtu alikuqa anamjua mane.. trent anold.. ? Kuna mtu alikuwa anawafaham. Hata baada ya kwenda liverpool.. kuna mtu aliwatilia maanani?

Wkt liver inaanza kujenga kikosi hiko.. hakuna mchezaji alikuwa na jina.. lakin leo hii angalia viwango vyao?
Kati ya liver na man city nani ana wachezaji wa bei mbaya?
Lakin liver ndio wamechukua uefa. Wamefikaje hapo? Safari ilianza misim mitatu iliyopita.. kikosi kimejengwa na wachezaji wasiokuwa na majina by then. Leo wako on form majina yamekuwa.
 
Back
Top Bottom